WAANGUKA NA UNGO KATIKA KITUO CHA POLISI MANYONI.




Jeshi la polisi wilaya ya Monyoni mkoani Singida linawashikilia vijana watatu waliokuwa wakisafiri kwa kutumia ungo kutoka katika kijiji cha 
Kinika kata ya Mkwese wilayani Manyoni kuelekea mkoani Mbeya na kuanguka karibu na kituo hicho
Previous Post Next Post