RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI YA SHREE HINDU MANDAL


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya jana Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya jana Januari 16, 2013
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati akisoma Hotuba yake ya ufunguzi wa Jengo hilo.
Previous Post Next Post

Popular Items