Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa na viongozi wa ASAs mbalimbali wakionyosha mikono kuomba idhini ya kuchangia katika mkutano kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara Januari 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)