Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Andry Rajoelina (kushoto)akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Bernard Membe (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam kuhudhuria mkutano wa wa SADC wa Asasi ya Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (TROIKA).
Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Andry Rajoelina akikagua gwaride la maalum mara baada kuwasili jijini Dar es salaam.