MAHAFALI YA NNE CHUO CHA UFUNDI ARUSHA YAFANA


picha na 6
Mgeni rasmi , Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Dkt. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi wa sh.  Mil 10 kwa ajili ya wanafunzi 10 bora. Fedha hizi ni Ahadi ya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda, wakati wa mahafali ya
Tatu mwaka 2012 kwa wanafunzi bora wa chuo hicho.
picha na 7
Wanafunzi Bora wa Kike kwa kila idara walizawadiwa Kompyuta aina ya
laptops kutoka ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Italia wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mh. Philip Mulugo baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
picha 3
Mgeni Rasmi, Mh. Philipo Mulugo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya Chuo cha Ufundi Arusha yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya shule hiyo mkoani Arusha
picha 5
Mkuu wa Chuo cha Ufundi, Eng. Dkt. Richard Masika akitoa Hotuba wakati
wa mahafali ya Nne ya Chuo.
Picha na 1
Wanafunzi wakiingia kwa maandamano wakati wa mahafali yao yaliyofanyika jana jijini Arusha
picha na 4Mkuu wa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Abraham Nyanda alitoa
Hotuba wakati wa Mahafali.

Previous Post Next Post