Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info kwa sasa upo hewani baada ya kutopatikana kuanzia Jumatano asubuhi kutokana namatatizo ya kiufundi ambayo yameshughulikiwa ipasavyo na wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa tatizo kama hili halitatokea tena.Tunawaomba radhi wasomaji wetu pamoja na watu tunaotangaza nao kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika kipindi hiki. Kwa sasa tunaendelea kuwapa habari motomoto kama kawaida wasomaji wetu.Asanteni kwa uvumilivu wenu.Web MasterGlobal Publishers Ltd
Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info kwa sasa upo hewani baada ya kutopatikana kuanzia Jumatano asubuhi kutokana na
matatizo ya kiufundi ambayo yameshughulikiwa ipasavyo na wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa tatizo kama hili halitatokea tena.
Tunawaomba radhi wasomaji wetu pamoja na watu tunaotangaza nao kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika kipindi hiki. Kwa sasa tunaendelea kuwapa habari motomoto kama kawaida wasomaji wetu.
Asanteni kwa uvumilivu wenu.
Web MasterGlobal Publishers Ltd
