Mh Deo akimuonyesha eneo la ujenzi wa Chuo Mkurugenzi mkuu veta Ndg. Zebadieli Mushi lenye ukubwa wa hekali sabini.
Mh Deo akimkabidhi zawadi ya kuku Mkurugenzi mkuu wa Vyuo vya veta Tanzania
Mkurugenzi wa Vyuovya veta nchini akiongea na wananchi wakijiji cha Ludewa juu ya ujenzi wa chuo cha veta katika kijiji chao kwaniaba ya wana Ludewa.
Mh Deo Filikunjombe akiongea na wananchi wa kijiji cha shaulimoyo walipo ijiwa na mkurugenzi wa vyuo vya veta Tanzania kuwathibitishia ujenzi wa chuo cha veta wilayani Ludewa.Ndg.Zebadieli Moshi