Mkutano wa Pili Phenomenal Woman Wafanyika Jijini Dar es salaam


 
Ruth Makombe, Head Retail and SMS Marketing, Banc ABC akionesha kadi za Debit kwa akina mama wafanya biashara wajasiriamali kutoka wilaya za Temeke, Ilala, na Kinondoni huku wengine wakitoka katika taasisi mbalimbali jijini Dar es salaam, Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa kanisa la City Christian Center Upanga jijini Dar es salaam kushoto ni  Lilian Bulengo Mtaalam wa mambo ya mabenki, Mkutano wa Pili Phenomenal Woman ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
 
Rose Jairo Chambe, Akitoa mada kwa washiriki wa semina hiyo kuhusu  jinsi ya kufanya kazi kwa uwiano ili kujiletea maendeleo katika familia.
 
Wadau wa mkutano wakipiga picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es salaam.
Previous Post Next Post