
Mahakama ya kimataifa ya ICTR imemhukumu mtuhumiwa muhimu aliyeratibu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Augustin Ngirabatware (Pichani) adhabu ya kifungo cha miaka 35 jela.
Augustin Ngirabatware aliwahi kuwa waziri wa zamani katika serikali ya Rwanda.
Ngirabatware anakuwa mtu wa mwisho kushitakiwa na mahakama hiyo ya ICTR ambayo kwa sasa itakuwa ikisikiliza rufaa pekee.
Tags:
Social