Endelea kufatilia vyombo vya habari, ni hivi karibuni wanamitindo 12 kupanda jukwaa moja kumsaka Unique Model of a year 2012 matangazo ya luninga kupitia Dtv,88.4 Clouds fm, Gazeti la Tanzania Daima, Gazeti la Kiu na Blogs mbalimbali,matangazo yatakujia hivi karibuni stay tuned ujue ni lini na wapi fainali.