AMBER ROSE KUPATA MTOTO WA KIUME


Mwanamuziki wa Marekani Amber Rose ambaye ni rafiki wa rapa maarufu Wiz Khalifa, ameandika kwenye ukurasa wake wa Tweet kwa wapenda wake milioni 1.4 jinsia ya mtoto wake mtarajiwa

Lakini katika ukurasa huo alionesha kama hakuwa na mpango wa kutaja jinsia ya mtoto ila ni kama ameitaja bila kujua mtoto wake atakuwa wa kiume

Aliandika katika ukurasa wake huo jinsia ya mtoto wao mtarajiwa na papo hapo akashtuka kataja bila ya kujua

Hivi karibuni Amber aliweka wazi mipango yao ya kumpokea mtoto wao katika maisha yao, alisema wanapanga kuoana kwanza kabla hajajifungua
Previous Post Next Post

Popular Items