UPDATES: ANGALIA NAMNA WATU WANAVYOHUZUNIKA NA MSIBA WA STEVEN KANUMBA

Watu wakiwa hawaamini kilichotokea

Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV 

Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu 

alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi

Previous Post Next Post