| UPDATES: Ts confirmed lulu amekatwa na yupo polisi Osterbay, mdogo wake kanumba athibitisha uwepo wa lulu wakati Kanumba akipatwa na matatizo yaliyosababisha kifo chake, anasema wawilihao walikuwa na mabishano makubwa kabla ya Lulu hajatoka ndani kumuita na kumwambia kwamba Kanumba amedondoka na anatokwa na mapovu mdomoni. | |
|