Video – Ne-Yo – She Knows ft. Juicy J

Ne-Yo ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘She Knows’ ft. Juicy J. Wimbo huu utapatikana kwenye album yake mpya na ya sita aliyoiita ‘Non-Fiction’, ambayo bado haijajulikana itatoka lini.



Previous Post Next Post