Picha: Miriam Odemba akutana live na familia ya Kim Kardashian

Mwanamitindo kutoka Tanzania Miriam Odemba, Wiki kadhaa zilizopita alikutana na Kim Kardashian pamoja na mtoto wao, North walipokuwa jijini Paris, Ufaransa ambako walihudhuria msululu wa fashion shows.



Miriam na Kim

Miongoni mwa waliokutana na kuongea na familia hiyo maarufu ni super model wa Tanzania, Miriam Odemba aliyekutana na sio tu Kim, bali pia mama yake Kris Jenner na mdogo wake Kendall Jenner.




Miriam akiwa na mama yake Kim, Kris Jenner


“I love you so much @krisjenner your Phenomenal woman it’s was lovely talking with you hope to see you again near future & welcome to Tanzania @krisjennershow Bisous #miriamodemba,” aliandika kwenye Instagram.
Miriam Odemba akiwa na Kim kardashian
Miriam Odeba akiwa na Mdogo wake Kim Kardashian Kendall Jenner
Previous Post Next Post