Video: Izzo Bizness – Walalahoi

Ile video mpya ya Izzo Business iliyoongozwa na Director Nick Dizzo na iliyomgharimu kiasi cha tsh milioni 1.4 tu mpaka kukamilika kwake, imetoka iko hapa unaweza kuitazama video mpya kutoka kwa Rapper Izzo Business ngoma inaitwa Walala Hoi


Itazame hapa....

Previous Post Next Post