Picha: Miley Cyrus apost picha akiwa anaoga bafuni

Mtandao wa instagram ni maarufu sana hvi sasa na watu wamekuwa wakiutumia katika mambo tofauti na wengine wamekuwa wakitumia mtandao huu kuchafua watu  mbali na hapo weng wanautia visivyo mtandao huu


Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni havikubaliki zaidi na sio mfano wa kuigwa kabisa kwa wapenda maadili.



Mwimbaji mwenye ‘vitimbwi’ vingi, Miley Cyrus amepost kwenye Instagram picha inayomuonesha akiwa anaoga bafuni huku ameficha sehemu zake kwa alama ya kopa.
Mapema mwaka huu, Rihanna na baadhi ya wasanii wengine walikumbwa na rungu la Instagram baada ya kuandikiwa barua ya onyo na kuzuiwa kabisa kupost picha za ajabu.

Huenda Miley akapewa onyo pia.
Previous Post Next Post

Popular Items