Tyga atangaza rasmi siku ya kutoa Album yake mpya ya 'The Gold Album'

Rapper na member wa kundi la Young Money T-Raww a.k.a Tyga ametangaza rasmi siku ya kuachia album yake mpya  ya #TheGoldenAlbum 

Kupitia mtandao wa Twitter Tyga alitweet '“The Gold Album: 18th Dynasty drops NOV 18th!!!!” katika album mpya ya Tyga utaweza kuskia Justin Bieber  amabaye amepewa shavu katika single inayoitwa Wait for a Minute



Katika mwezi uliopita Tyga alifunja Tour ya WizKhalifa katka kuakikisha Amekuwa seriusly katika kumalizia Album hii yake mpya pamoja na movie, hata hivyo Kanye west kusimama kama Exucutive Producer wa Album yake mpya


Previous Post Next Post