Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabiki wengi ni ile Burudani  kutoka kwa Mwanadad Nick Minaj na wimbo wake mpya wa Anaconda, Nick  Minaj aliaacha watu hoi pale alipoanza kuyarudi huku akitikisha booty lake na fans wengi kushangilia,
Tazmaa video hapa kuona alivyowapagawisha wengi

