Picha: Hivi ndivyo Mtangazaji wa Clouds FM B 12 alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa

Chukua muda wako kutazama picha za Mtangazaji wa kipindi cha XXL Hamis Mandi aka B12. alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa July 22,B12  aliamua kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto yatima wa kituo cha ‘Chakuwama’ kilichopo Sinza Meeda, kwa kufuturu pamoja na kukata keki pamoja nao, huku nakiwa amesindikizwa na Bob Juniour, Shilole na wengine..



Tazam pichazaidi hapa..




 Shilole , Bob Junior na B-12

  Shilole na B-12
   Shilole na B-12
    B-12


  bob Junior na B-12

Previous Post Next Post