EFM yapata leseni kamili ya kurusha matangazo jijini Dar

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA, Ijumaa hii imetoa leseni rasmi kwa kituo cha redio cha EFM kurusha matangazo katika jiji la Dar es Salaam.



Studio za EFM

Kupitia Instagram , mmoja wa wakurugenzi wa redio hiyo, DJ Majay amepost picha ya leseni hiyo na kuandika.

Thanx Tcra,watanzania na wadau wote wa tasnia ya habari na burudani nchini kwa kusapot na kuwezesha kufanikiwa kupata leseni kamili ya matangazo ya E-fm Dsm..ahadi yetu kwenu ni kuwapa kile mnachokihitaji na kuwaondolea stress za siku nyingi…thanx,.



Ni ukweli usiofichika kuwa Hadi sasa EFM ni redio inayosikilizwa na watu wengi jijini Dar es Salaam.
Previous Post Next Post

Popular Items