Beyonce Ajibu Kwa Lugha Ya Picha Taarifa Za Mgogoro Mzito Wa Ndoa Yake kupitia Instagram

Mwanadada Beyonce bado anaendelea kuuambia ulimwengu kuwa familia yake ina furaha na ndoa yao bado ina nguvu baada ya kupost picha Instagram akiwa na mume wake na mtoto wao wa miaka miwili, Blue Ivy.



Picha hiyo ni sehemu ya jibu lake kufuatia ripoti ya New York Daily News kuwa ndoa yake ipo mbioni kuvunjika.


Instagram


Gazeti la Uingereza, The Mirror limedai kuwa wawili hao wanafanyiwa counseling ya ndoa wakati wakiendelea na ziara yao ya ‘On the Run’. Jay na Bey wapo pamoja kwa miaka 12.
Previous Post Next Post

Popular Items