Rapper w kike Eve afunga ndoa na huyu Bilionea

Hatimaye rapa wa kike maarufu wa muziki wa nchini Marekani Eve, amefunga ndoa na mchumba wake Bilionea raia wa Uingereza Maximillion Cooper.



Ndoa hiyo imefungwa nchini Hispania na mchumba wake ambaye pia ni mmiliki wa kiwanda cha magari.

Eve na mpenzi wake wamefunga ndoa katika mji wa Ibiza huko Hispania ambapo wapenzi hao walivalishana pete ya uchumba Desemba mwaka 2013 katika sikukuu ya Christmas.
Previous Post Next Post