Picha: Maandalizi ya mwisho yaliyofanywa na @DiamondPlatnumz @IamDavido @VanessaMdee - Durban South Afrika

Wasanii wa muziki na wadau mbalimbali wa muziki wakiwa wanaendelea kulisubiria tukio la utoaji tuzo za MTV Africa Music Awards ‘MAMA’ nchini Afrika Kusini, wasanii wanaendelea kufanya maandalizi mbalimbli kwajili ya show hiyo itayofanyika usiku wa kesho na kuonyeshwa live kupitia DStv Channel 322 na channel nyingine.Tazama picha za maandalizi na matukio mbalimbali ya wasanii.

 
Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi


Tazama picha zaidi hapa...

  Daido akiwa katika duka na Sonara





 Sheta akiwa Njaini Kwenda kumuunga Mkono Diamond Platnumz

 Davido akiwa kwenye maandalizi
 Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi

  Davido na Diamond Platnumz wakiwa kwenye maandalizi
 Daido akiwa katika duka na Sonara

Vanessa akifanya interview na Treysongz
Previous Post Next Post