Picha: Kupitia picha hii utaweza kumuona Baba Mzazi wa Diamond Platnumz akiwa na Wema Sepetu

Ukitaka kujua kwamba Diamond na Wema Sepetu wametoka mbali na sababu ya kutokuachana kwako hadi leo utaipata hapa kupitia picha hii itaweza kukuonyesha kuwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu wametoka mbali na kumbe hata Baba Mzazi wa Diamond Platnumz anamjua mkwe wake mtarajiwa ambaye ni Wema Sepetu.

 Leo nimefanikiwa kuipata picha hii ya ambayo inamuonyesha Super Star Diamond Platnumz, Wema Sepetu akiwa na Baba yake mzazi na picha nyingine inamuonyesha Wema Sepetu akiwa na Diamond Paltnumz pamoja na Ommy Dimpoz, So kumbe Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz  ni washkaji kwa muda mrefu



Unaambiwa mara ya kwaza wema sepetu kukutana na Diamond Platnumz ilikuwa ni hapa katika hii picha

Previous Post Next Post