Kombe la Dunia: Timu zilizowazuia wachezaji wao kufanya mapenzi na zilizowaruhusu

Kama uliwahi kuwa karibu na wachezaji wa timu yoyote kuanzia daraja la tatu hata hapa Bongo utakuwa umewahi kusikia makocha wakiwasihi wachezaji kutojihusisha na ngono kwa kipindi cha mashindano fulani.

Wengi wanaamini ngono ina madhara kwa mchezaji ambaye anapaswa kuwa ngangari kwenye mechi, lakini wengine huchukulia kama sehemu ya wachezaji kustarehe baada ya mechi.



Hivi ndivyo ilivyo katika kombe la dunia.

Timu ya Nigeria wamewaruhusu wachezaji wao kufanya mapenzi lakini kwa wale wenye ndoa na wao iwe kwa wake zao tu. Kwa wale wenye girlfriends hawaruhusiwi.

Ufaransa na Brazil wao wameruhusu lakini wamewekewa mipaka kuwa hawatakiwi kulala nje ya kambi wala kukaa na wapenzi wao usiku mzima.

Zilizoruhusu:

Nigeria(Kwa wanye ndoa tu. )

Germany

Brazil

Argentina

Spain

USA

Australia,

Italy

Netherlands

Switzerland

Uruguay

England

France



Zilizozuia:

Cameroon

Ghana

Russia

Chile

Mexico

Bosnia

Herzegovina

South Korea



Ambazo hazifahamiki uamuzi wao:

Netherlands

Côte d'Ivoire

Greece

Japan

Costa Rica

Ecuador

Switzerland

Iran

Portugal

Algeria

Belgium
Previous Post Next Post

Popular Items