Baada ya mashabiki kumshambulia Diamond Platnumz, Hiki ndicho alichokipost

Jana mashabiki walimshambulia Diamond Platnumz baada ya kupost picha wakati watanzania wakiwa katika majonzi ya msiba, kitendo hicho kiliwakera fans wake na kuanza kumshambulia kwa comment zinzomsihi Diamond kuwa na huruma ana kuelewa khali halisi ya nchini mwake kwa hivi sasa na wasanii wenzake wapo katika khali gani.



Baada ya khlai hiyo kutokea Diamond platnumz alimau kutoa pole zake kupitia ukurasa wake wa Instagram, na kuandika haya 'Najua tumekuwa tukipitia kipindi kigumu sana hivi karibuni.. kuondokewa na ndugu zetu ambao tunawapenda na kuwategemea kwenye sanaa na mambo mbalimbali.. kiukweli ni pigo na Pengo kubwa kwa Taifa... lakini skuzote tunaamini Sisi tuliwapenda ila Mwenyez mungu aliwapenda zaidi... Maombi yetu ndio yatakayo wasaidi walipo wapumzike kwa Amani....Mwenyez mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Amin...💡'




Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA