Picha: Jux katika video shooting ya "Nitasubiri" uko china

Hit maker wa Nitasubiri Jux kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya “nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo huo amemuimbia mpenzi wake (Jackie Cliff) anaedaiwa kufungwa gerezani China kwa ishu za dawa za kulevya.



Tazama picha za siku ya kwanza ya shooting hiyo huko China ambako ndiko alikofanya ile video ya ‘uzuri wako’ iliyotolewa kushiriki tuzo za KILI 2014 kutokana na kukiuka maadili ya Kitanzania.






Previous Post Next Post