Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar;






Wazee wetu walituunganisha. Muungano wetu ni muhimu kwetu sote, bila kujali wewe ni wa kutoka bara au ni Mzanzibari. Tushikamane, tuulinde Muungano.


Serikali mbili, tatu au hata mia mbili hazitakuwa na maana yeyote iwapo roho zetu zimejaa kutu dhidi ya wenzetu. Naunga mkono SERIKALI MOJA tu na si vinginevyo! Huo ndio Muungano halisi.
Sisi wanaharakati tusiofungamana na upande wowote wala sio wanasiasa tunamtaka BABA MMOJA na sio baba wawili au zaidi!
Udumu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!


Nimiaka 50 sasa tangu tupate uhuru "TUTAUKUMBUKA NAKUUENZI MILELE DAIMA"



Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa