Muigizaji wa Bongo Movie Salma Jabu hivi karibuni alitembela kituoa cha kulelea watoto yatima kilichopo uko Zanzibar na kutoa misaaada hii michache kama jinsi inavyoonekana pichani hapa chini!
| Hapa Salma Jabu akiwa amepiga picha na Baddhi ya watoto pamoja na walezi wa kituo hicho | 
Tags:
Photos