Picha: Picha kali instagram 'Agness Masogange '

Video queen Agnes Masogange aliyefanya video ya Msambinungwa, amepost picha inayomuonesha akiwa na gauni jeupe huku akiwa ameinama kidogo kwenye eneo la kunawia mikono (ama bafuni vile???) na huku ‘asset’ inayomwekwa mjini ikionekana kwa uzuri.



“lv u yall,” ameandika mrembo huyo na kuviacha vidume vikimeza mate kwa uchu. Bahati mbaya ni kuwa, picha hiyo sio ya kwake bali ni ya msichana wa Marekani aitwaye Crystal Renay.

Previous Post Next Post