Huu ndi umri sahihi wa Jay Z, sio Miaka 50 kama Dj Troi alivyodai

Ni kweli Jay Z anadanganya umri wake? Hivyo ndivyo DJ mmoja wa jijini New York, Marekani amedai kuhusu mume huyo wa Beyonce.




DJ Troi Torain alidai kuwa baba huyo wa Blue Ivy ana miaka 50 na sio 44. Lakini mtandao wa E! News umethibitisha kuwa rekodi zinaonesha kuwa rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Shawn Corey Carter alizaliwa Dec. 4, 1969 na hiyo inamaanisha kuwa hadi sasa ana umri wa miaka 44.




DJ huyo alisema: I shouldn’t blow this up, maybe because he doesn’t promote it publicly, but Jay Z and I are the same age,” Star said. “I will be 50 on May 3. He’s 43, 42…that’s just media bulls–t!”
Previous Post Next Post

Popular Items