Siumizwi Nikichukuliwa Bwana na Rafiki Yangu ' Wema Sepetu'

Mwanadada anayehit na Live Show yake ya In My Shoes na  msanii wa filamu ambaye pia ni  CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amesema hawezi kuumizwa na kitendo cha rafiki yake Naima Shaa aliyemchukulia mpenzi wake Clement Kiondo na kumtaka mwanadada huyo aendelee na maisha yake.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.



Akizungumza na U Heard ya Clouds FM,Wema amesema maisha yake ya furaha yanaendelea kama kawaida kwasasabu haangalii nyuma.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

“I don’t want to talk about it,” amesema Wema. “Kwasababu hata siangalii nyuma you know maisha yameendelea am happy, that thing I want ni mimi kuwa happy,kwasababu nisingekuwa happy ningekuwa nasema labda Naima ananiumiza,lakini hawezi kuniumiza nimeshamwambia mpaka Naima. Nimemwambia ‘ishi maisha yako,fanya mambo yako’, mbona tunaongea tu na Naima fresh wala Naima na huyo mtu, yani they can do anything sitamind.”


Naima

“Huyo mtu yupo na mtu wake,mimi nyenyewe si nipo na mtu wangu, kila mtu kashafanya mambo yake basi.”
Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Katika hatua nyingine, Wema amekanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa kampuni yake, Mirror.

“I can never do something like that,ukisema hivyo unanidisrespect mimi,” alisema.
Previous Post Next Post

Popular Items