Gabo kwenye filamu moja na wema sepetu

Msanii wa filamu, Wema Sepetu amemtafuta mkali wa filamu ya ‘Bado Natafuta’ Salim Ahmed aka Gabo na kuanza kuanda filamu mpya itayokuwa chini ya kampuni yake ya Endless Fame Film.



Akizungumza na mtandao wa bongo5, Gabo alisema tayari wameshaanza kushoot filamu hiyo.

“Kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema,ambayo ipo chini ya Endless Fame Film, kwahiyo ni ya Wema. Wema alinitafuta akasema tufanye kazi, ndio ambayo tunafanya,” alisema Gabo.

Chanzo:Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items