Picha: Hii ndio Picha uliyoimic kutoka instagram - Jack Cliff Apost Picha ya kwanza toka December 19/2013

Hivi karibuni zilienea habari na picha karibu katika kila mtandao zikimuonyesha mwanadada Jack Cliff akiwa amekamatwa nchini china katika kisiwa  cha mecau kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya katika mwili wake, Jack Cliff mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.

  Jack Cliff  (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Alipigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013.

Leo Kupitia Instagrama Jackie Cliff amepost picha hiyo hapo chini toka mara ya mwisho alivyokamatwa Disemba 19.2013


Caption ya picha hiyo haijasema chochote juu ya mambo yaliyosikika au mahali alipo.
Previous Post Next Post