Mr Blue Kuhamia katika Mjengo wake January 1/ 2014

Msanii anayehit na wimbo wake wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena.


Mr Blue akiwa na  mwanae Sameer

“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue alisema

Hata hivyo amesema pamoja na kuwa baba, majukumu aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia yangu iandaje.”

Wahyda

Katika hatua nyingine Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1 January 2014
.

Wahyda (mchumba wake wa Blue na mama wa mtoto wa mr blue sameer) akiwa na mwanae Sameer

“Ni mtu kwakweli kama baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.”
Previous Post Next Post