BABY MADAHA APATA DILI, KUFANYA SHOO LONDON MWISHO WA MWEZI HUU

Mwigizaji na Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, baby Madaha amekula dili ya kwenda kupiga shoW ya mziki huko UK tar 30 ya mwezi huu wa kumi na moja.

Manager wa mwanadada huyo Mr. Joe kariuki alisema itakua ni booonge la suprise kwa mashabiki wake wa pande hizo na atapata nafasi ya kuyazindua tena manukato yake "candy n candy"na gift bags zake zenye picha yake....."baby amejiandaa kuwapa swagg"mfeel swagg" na mdate na swagg"zake"alimaliza joe.....
Show hiyo inatarajiwa kufanyika katika eneo la BARKING ESSEX,LONDON kwenye Club iitwayo Club Diamondz na kiingilio kitakuwa ni paundi 19 sawa na shilling elfu 50 ya kitanzania
big up mdada itangaze Tanzania mpaka waielewe!

Previous Post Next Post