Q-Chilla kuizindua video ya ‘Beautiful’ Club Billicanas Leo Jumapili

Kipindi cha Kwetu Flava cha Magic FM, Jumapili hii kitasimamia uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Q-Chilla, Beautiful. Uzinduzi huo utafanyika Club Billicanas ambapo Chilla atapewa support na wasanii kibao wakiwemo, Big Jahman, Makamua, Dudubata, Akili The Brain, Sam wa Ukweli na Baby Madaha.



Previous Post Next Post

Popular Items