FAHAMU MAISHA YA MAPENZI ALIYOPITIA KIM KARDASHIAN MPAKA KUWA MAMAM NA KUCHUMBIWA NA KANYE WEST

Katika Mapenzi mwanadamu anaweza kujikuta anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu tofautitofauti ,Hii ni Kutokana na Wapenzi kukosa kuelewana ivyo kusababisha kutoweza kuishi pamoja au kuendelea kuwa katika mahusiano, Asilimia kubwa ya Wanawake wa Afrika Ulalamika na Kudai kuwa Wanaume ndio wenye makosa ya kutokuwa na Uamainifu au Tamaa za kutamani wanawake wengine wakati unajua fika kwamba uko na mpenzi wako ambaye anakupenda na kukueshimu...



Hali hii sio ngeni sana kwa wenzetu kwani imekuwa ni kawaida kwa wapenzi wawili kugombana na kila mmoja kuchukua muda wake na ndivyo jinsi ilivyo kwa Super Star na Mama wa Jicho la Kanye West "North West" Kim Kardashian kabla ya kuanza kudate na Kanye West Alishakuwa na Mahusiano na Super Star Wengine Kibao na ata Kufunga Ndoa"Kuolewa" pia.

Kabla ya Kim Kardashian Kupata urah yake ya Maisha na Kuwa Mama na




Baadhi ya Majina ya Masuper Star Aliowai kuwa nao ni Ray J (Kwa Ajili ya Porn Walioshiriki wakiwa  na Ray J,) wengine ni Reggie BushNick Cannon, and Kris Humphries,

***
Nakuletea Picha hizi hapa chini Uweze Kujua ni watu gani au ni Super Stars gani Wameshawai Kutoka na Kim Kardashian Kabla ya Kuwa Mama wa North West na Kuvishwa Pete ya Uchumba na Kanye West




Kim Kardashian and Damon Thomas

Mwaka 2000 Kardashian alikuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Producer Damon Thomas wakati uo Alikuwa ni Binti wa Miaka 19 walitengana Miaka Mitatu(3) Baadaye 2003

                                 Kim Kardashian na Ray J

Baada ya Kuachana na Damon Thomas Mwaka 2003 Kardashian alianzisha Mahusiano na Kaka wa Brandy Ray J na wawili hawa walitengeneza mkanda wa ngono ambao ulivuja mwaka 2007 na Hii Ilimfanya Kardashian apate Umaarufu.



                                                       Kim Kardashian and Nick Lachey
Baada ya Kutengana na Ray J Kim Kardashian Alianzisha mahusiano na Nick Lachey ambaye alikuwa ametoka kutalikiana na mke wake aitwaye Jessica Simpson

Kim Kardashian and Miles Austin
 Kardashian alianzisha Mahusiano na Dallas Cowboys Player Austin kwenye kipindi cha Summer time 2010 Mara ni Baada ya Kutengana na Bush.Walikuwa katika Mahusiano lakin Kim Kardashian alikuwa Ataki kurash kitu chochote na Baadaye Septmber 2010 walitegana


                                                           Kim Kardashian and Gabriel Aubry
2010 Mahusiano yake yalianza akiwa na Gabriel Aubry na kuachana wiki chache Baadaye
Kim Kardashian and Nick Cannon
Mume wa Mariah Carey naye alishawai kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Kim Kardashian mwaka 2006, Kim Kardashian alimwambia Howard Stern mwaka 2012 na Kusema alilazimika kuachana na Ray J Kwa Sababu ya Mkanda wa Ngono Aliouchukua Ray J

                                                    Kim Kardashian and Shengo Deane
2010 Kardashian alianzisha Mahusiano na Shengo Deane amabaye alikuwa ni Reality Star BodyGuard, Mahusiano yao yalianza taratibu walishare love kimyakimya na Baadaye fans waliita "the Best kISS eVER"


                                                          Kim Kardashian and Kris Humphries

Kim Kardashian na Mchezaj wa Brooklyn Nets Basketball walianzisah mahusiano mwezi wa kumi mwaka 2010 na walichumbiana zaidi ya mwaka na Baadaye mapema mwaka 2011 mwezi wa nane walifunga ndoa uko calfonia.
Ndoa yao ilidumu kwa muda wa siku 72 na baadaye jupean taraka mwezi wa 10



                                                       Kim Kardashian and Reggie Bush
Mwak 2007 Kim Alikuwa na Mahusiano na Mcheza Mpira Reggie Bush na mahusiano yao Kudumu mpaka mwaka 2010.Baadaye walitengana na kubakia na Uraiki wa kawaida ambapo kwa sasa wote wanawatoo ikiwa Reggie Bush Amezaaa na Lilit Avagyan wakiwa na mtoto wa kike na Kim Kardashian anye ana mtoto wa kike aitwaye North West


                                                              Kim Kardashian and Kanye West
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA