Msafara uliokuwa ukiongoza gari lililobeba mwili wa marehemu ukiwasili kanisani.
VILIO vilitawala viwanja vya kanisa la EAGT, Temeke jana wakati mwili wa mwasisi wa makanisa ya kiroho na mhubiri wa kimataifa, Dk. Moses Kulola, ulipokuwa ukiagwa kwa ajili ya kusafirishwa na kuzikwa huko Mwanza wiki ijayo.
(Stori/Picha: Gladness Mallya na Haruni Sanchawa /GPL)
(Stori/Picha: Gladness Mallya na Haruni Sanchawa /GPL)