Kwa mujibu wa mauzo kwenye majumba ya sinema nchini Marekani na ripoti ya Box Office ya wiki hii, hizi ni filamu 12 mpya zinazofanya vizuri zaidi kwa sasa.

1. Riddick – $19,030,375 (ina wiki 1 tangu itoke)

2. Lee Daniels’ The Butler – $91,403,106 (ina wiki 4 tangu itoke)

3. Instructions Not Included – $20,360,893 (ina wiki 2 tangu itoke)

4. We’re the Millers – $123,613,931 (ina wiki 5 tangu itoke)

5. Disney’s Planes – $79,124,995 (ina wiki 5 tangu itoke)

6. One Direction: This Is Us – $23,936,965 (ina wiki 2 tangu itoke)

7. Elysium – $85,118,599 (ina wiki 5 tangu itoke)

8. Percy Jackson: Sea of Monsters – $59,773,305 (ina wiki 5 tangu itoke)

9. Blue Jasmine – $25,108,580 (ina wiki 7 tangu itoke)

10. The World’s End – $21,784,111 (ina wiki 3 tangu itoke)

11. The Mortal Instruments: City of Bones – $27,851,204 (ina wiki 3 tangu itoke)

12. Getaway – $8,680,163 (ina wiki 2 tangu itoke)
Tags:
Movie