GOOOD NEEEWS: HUSSEIN MACHOZI APATA JIKO KIMYAKIMYA - NCHINI KENYA



Tunawapongeza bibi na bwana harusi Mungu awajaalie maisha marefu na muishi kwa salama katika ndowa yenu


Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.


                                    Mke wa Huseein Machozi Shu Yunus Omar


Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa






Na hizi ni Baadhi ya Picha za Mke wa Hussein Machozi










Previous Post Next Post