Mratibu wa Tamasha la Dar Filamu Festival bw.Starford Kihore (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu Tamasha hilo litakalofanyika Septemba 24 hadi 26 mwaka huu katika Viwanja vya Kijitonyama Posta,Kushoto ni muugizaji wa filamu za kibongo Elizabeth Micheal(Lulu) na kulia ni Mratibu wa Kampuni ya Haak Neel Prodution Geofry Katula.
Muugizaji wa Filamu za kibongo Elizabeth Micheal (Lulu) kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Tamasha la Dar Filamu Festival litakalofanyika Septemba 24 hadi 26 mwaka huu Viwanja vya Kijitonyama Posta,Kulia ni Mratibu wa Tamasha hilo Starford Kihore