Picha: Jk Akiwa na MMkewe Mama Salma Kikwete katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Mugabe


a25 74ff0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoka katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel Mugabe Agosti 22, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini zimbabwe, Mhe Adadi Rajabu
Previous Post Next Post

Popular Items