MAKAMU WA RAIS MISRI, EL BARDEI AJIUZULU



mohamed-elbaradei 4889c
Makamu wa rais Misri, Mohamed El Baradei amejiuzulu kutoka kwenye serikali ya mpito.
Ghasia zinaelezwa kuendelea kutokea kwenye mitaa mbalimbali ya miji nchini humo.
Previous Post Next Post

Popular Items