Hivi Ndivyo Diamond Alivyoipagawisha Nairobi





Hakuna Ubishi kuwa Mwanamuziki wa Miondoko ya Bongo Flavour Diamond Plutnumz, Ameikamata Afrika Mashariki na Nje ya Mipaka Yake
Hii Ilithibitika usiku wa Ijumaa iliyopita amabapo Diamond Alifanya Shoo jijini la Nairobi katika ukumbi a KICC Ambapo wakazi wa kenya walijaza ukumbi huo kwa kumshuudia Diamond Akifanya Vitu vyake kwa mashabiki wake .



Ilikuwa ni siku kubwa kwa wakazi wa jiji hilo, na ilikuwa ni siku ya sikukuuu ya Eid el Fitri.Shoo hiyo iliandaliwa na Q Fm inayomilikiwa na Kampuni ya Nation Media Group


Umati wa Watu

Majira ya saa mbili za usiku watu walianza kujisogeza katika ukumbi huo ili kuweza kumuona Bongo Flava Prics toka Tanzania, Watu walimiminika kwa wingi kuweza kumshuhudia Diamond na nusu saaa baadae Shoo Ilianza kwa Wasanii wengine kutoka kenya kuanza kwa kutumbuiza
.
Ingawa kulikuwa na Burudani Iliyokuwa Ikiendelea kutoka kwa wasanii wengine, Mashabiki hawakuonekana kufurahia burudani iiyokuwa ikitolewa na baadhi ya wasanii kutoka nchini hapo... walikuwa na kiu ya kumuona Diamond jukwaani .


Jaguar Aibua Shangwe 

Huku mashabiki wakiendelea kumsubiri Diamond Apande Jukwaani Majira ya Saa 6:10 Usiku Msanii Mzawa kutoka kenya Jaguar Aliingia Ukumbini Hapo na Kuibua Shangwe.
Hata Hivyo msanii huyo hakupanda jukwaani badala yake DJ Alizipiga Nyimbozake maharufu kama Kigeugeu, Kipepeo ambazo ziliwanyanyua baadhi ya Mashabiki.




Diamond Akiwa Na Jaguar Kabla ya Shoo



  
 Diamond Akiwa Na Jaguar Kabla ya Shoo - Wakipata Lunch

Diamond Plutnumz Aingia Jukwaani

Ilipofika saa 8:00 usiku Dj alimkaribisha Diamond watu waote waliokuwapo ukumbini hapo walilipuka kwa Furahana Seneta wa Jiji la Nairobi MIKE SONKO Alipewa Mike Ili Aweze Kumkaribisha Diamond.

Diamond alikuwa kavalia nguoa ya rangi ya 'Brown ' ambayo ilikuwa ikin'aa . Diamoond alivamia Jukwaa kwa Kuanza Kucheza akiwa na Wacheza Shoo wake,Alizidi kuwalipua mashabiki kwa furaha baaday ya kupiga wimbo wa kesho na wimbo wa kamwambie ambao ndio ulimttambulisha katika gemu

Diamond Avua Shati

Baada ya Mzuka kupanda Diamond alivua shati na kubaki kifua wazi, Jambo hilo Jamo hilo liliwachanganya baadhi ya wasichana ambao wengine walipanda kwenye Nguzo za Jukwaa Hilo ili kuweza kumuona Bongo Flava Prince Diamond  na Ilipofika saa 9:30 Diamond alishika kipaza na kuwauliza mashabiki: "Mimi Naatokea Wapi?" Mashabiki wote waliitikia "Kigoma"Baada ya Hapo Diamond Aliimba wimbo wa kigoma na Shoo Ilimalizika

Mashabiki Wanasemaje?
"Nampenda Diamond kwa Sababu anaswagga... anaimba na kucheza muda wote . Hachoshi kwa kweli akiwa Jukwaani.. Alisema Shabiki Mmoja wa Kike 

"Mimi Nilifurahi pale Alipovua Shati, kwa kweli Mzuka wa muziki ulipandamara Dufu,"Alisema Msicha Mwingine Aliyeojiwa na Kitua Cha  habari Nairobi


Previous Post Next Post

Popular Items