Going Bongo: Movie ya Kimarekani Iliyochezwa Dar Es Salaam Na waigizaji wa TZ Kushirikishwa




Pengine hii ni Movie ya Kwanza kabisa na yenye ubora wa hali ya juu katika tansia ya Filamu Duniani sehemu yake kubwa kuchezwa Tanzania, Dar Es Salaam. Ni Movie Inayokwenda lwa jina la Going BongoAmbayo inamuhusisha Ernest Napoleon ambaye amecheza kama Dr.Lewis Burger. Dokta ambaye anakuja Dar Es Salaam Kujitolea kwa mwezi mmoja kufanya kazi kama Daktari.


tumblr_mpq29qFLfh1szfxdyo1_1280




Movie hii ambayo imewashirikisha waigizaji kutoka Tanzania kama  kama Ahmed Olutu ‘Mzee Chilo’ , McDonald Haule, Sauda Simba Kilumanga, Amby Lusekelo na  Evans Bukuku.  Inatajiwa kutoka Mwezi wa December Mwaka huu.
Na baadhi ya Track za kitanzania zimetumika kama Sound Track ikiwemo Track ya Nipeni Deal ya Marehemu Albert Mangwair.
Check Baadhi ya Picha na Trailer za Movie hiyo.


Ngwair Nipe Deal, Going Bongo Goes Clubbing





Going Bongo Clips







Baadhi Ya Picha za Movie Hiyo
tumblr_mpq29qFLfh1szfxdyo1_1280
tumblr_mrkhz8AnPK1szfxdyo1_1280
tumblr_mrkh8saZiH1szfxdyo1_1280

tumblr_mr81j5iVeM1szfxdyo1_1280
Previous Post Next Post