Tazama interview kati ya Sporah Show na T.I.D, T.I.D Aulizwa Juu ya Kukonda kwake na Matumizi ya Madawa ya Kulevya?


Pata mda wako kuweza kuitazama interview ya Mwanamuziki T.I.D katika kipindi cha  Sporah Show,
Moja ya maswali aliyoilizwa ni kuhusiana na kifo cha Mangwea, Kutoa Album na na hata jinsi alivyochelewweshewa malipo yake na promota Mkenya

Pia T.I.D AKUBALI KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA AINA YA BANGI


Tazama video hii hap chini........



Previous Post Next Post