No title

So si Nancy Sumari pekee anayependa kushare story nzuri kuhusu watoto na malezi (mamazuri.com). Na sasa muimbaji wa Kenya, Wahu ambaye ni mke wa mwanamuziki mwenzie, Nameless ameanzisha blog iitwayo babylovenetwork.com – Connect, Learn, Discover, Share.
Kwenye blog hiyo Wahu atakuwa akishare na wasomaji mbalimbali masuala ya uzazi, ujauzito na ulezi wa watoto.
“Welcome to my babylove blog!! I’m really excited about this blog and look forward to interacting with my fellow mummies….and daddies too! I’m especially looking forward to hearing your interesting baby stories, as I share mine with you J,” ameandika Wahu.
Previous Post Next Post

Popular Items