Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray C?? Malkia wa kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray C ametangaza ujio wake rasmi baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo miezi kadhaa iliyopita.
Ni baada ya siku chache kupita toka Ray C atamke kuwa anapenda sauti ya ‘dogo lake’ Recho na kuwa atakuja kufanya naye kazi, leo amethibitisha kuwa mwezi Agosti ndio anarudi rasmi kutoka chimboni.
Kupitia akaunti ya Instagram Ray C aliweka picha ya gazeti moja lililoandika ‘Ray C kuonekana hadharani mwezi Agosti’, na baada ya followers wake kutaka ufafanuzi ndipo alifunguka kwa kusema “For Sure it’s bout time nw nimewapa muda sana watoto sasa mdada is coming back”.
Ray C aliwauliza marafiki zake wa Instagram kama wapo tayari kwa ‘come back’ yake, wengi wameonekana kutamani muda ufike waweze kumuona tena Ray C akirudi katika muziki. Hizi ni baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki wake.
-The Queen of Bongo Flava is back……yeeeiiii. we cnt wait
-Uuuuuuh i just cant wait
- I real love you mdada, can’t wait to see you again!!
-Nimemic sana naisubiri kwa hamu …nakupenda sana dada angu
-I’m so anxiety about ur comeback, nina kiraruraru heheheheh ebu ukoje to claim back ur throne in the industry
-Uuuuuuh i just cant wait
- I real love you mdada, can’t wait to see you again!!
-Nimemic sana naisubiri kwa hamu …nakupenda sana dada angu
-I’m so anxiety about ur comeback, nina kiraruraru heheheheh ebu ukoje to claim back ur throne in the industry
-Heeeheh! Just What I Had On My Mind Yesterday! Like ” @rayc1982 Is Waiting For Ramadhan To Take Back Her Crown” YES Babe!…August Better Hurry!!!
Ray C aliendelea kujibu maswali ya wengine ambao hawakuamini walichokiona “Very True comin back to take my crown back haleluyah”. Kuna uwezekano baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Ray C akatoa wimbo mpya kama ambavyo amethibitisha mwenyewe. Lets wait and see.
Welcome back kiuno bila mfupa ila sasa kiuno kina nyama za kutosha (amenenepa) inabidi tutafute a.k.a nyingine!